Saltar al contenido
Jua Haki Zako
PodcastSW

Jua Haki Zako

NuevoKenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump9 de noviembre de 2026 · 10 min
Episodios
24
Se publica
cada semana
Último episodio
9 Nov 2026

Sobre el podcast

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Episodios 24

  1. Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump

    10 min

    Safari ya kuwa mkimbizi si rahisi Skiza makala kufahamu mengi.

  2. Tanzania : Amnesty yatahumu serikali

    10 min

    Katika ripoti ya yake shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty international, limethumu serikali ya Tanzania kwa kufumbia macho wahusika walioshiriki vurugu za kipindi cha uchaguzi mwaka …

    Notas del episodio

    Katika ripoti ya yake shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty international, limethumu serikali ya Tanzania kwa kufumbia macho wahusika walioshiriki vurugu za kipindi cha uchaguzi mwaka uliopita.

    Kuelewa zaidi ripoti hiyo nimemtafuta mmoja wa watafiti wa Amnesty international, bwana Sikula Oniala, mtafiti wa Amnesty kufafanua ripoti hiyo.

    Skiza makala kufahamu mengi.

  3. Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema

    10 min

    Lydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi

  4. Africa : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI

    10 min

    Mataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ? Skiza makala haya

  5. Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani

    10 min

    Katika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala

  6. Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye

    10 min

    Wanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea. Skiza makala haya kufahamu mengi.

  7. Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo

    10 min

    Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao …

    Notas del episodio

    Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni

    Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka shirika la malipo ya uzeeni la NSSF, hili likichukuwa hata miaka miwili, baadhi ya wazee wakifariki kabla ya kunufaika na mgao huo.

    Skiza makala haya kufahamu zaidi.

  8. Kenya : Raia wa Burundi waondoka

    10 min

    Raia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo. Skiza makala haya

  9. Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi

    9 min

    Nchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi. Skiza makala haya kufahamu mengi.

  10. DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini

    10 min

    Raia mbilikimo wataka kujumuishwa serikali nchini DRC. Skiza makala haya kufahamu mengi.

  11. Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

    10 min

    Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya …

    Notas del episodio

    Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18.

    Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado hukumbana na vikwazo vinavyowafanya washindwe kurudi darasani.

  12. Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya

    10 min

    Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile …

    Notas del episodio

    Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na watoto wao jimbo la Busia kwenye mpaka wa Kenya na Uganda

  13. Kenya: Mawakili waandamana kudai haki

    10 min

    Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata. Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sikiliza makala kufahamu mengi.

  14. Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher

    10 min

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji wa El Fasher. Skiza makala haya kufamu mengi

  15. Haki za wakimbizi awamu ya pili

    10 min

    Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki hizo. Skiza kufahamu mengi.

  16. EAC : Haki za wakimbizi duniani

    10 min

    Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi. Skiza …

    Notas del episodio

    Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi.

    Skiza makala haya kufahamu mengi.

  17. Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya

    10 min

    Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja. Sikiliza makala haya kufahamu msimamo wa Mwende.

  18. Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti

    9 min

    Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki …

    Notas del episodio

    Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki.

    wanaharakati hao wanasema hali hiyo imechangia wahusika wa vitendo vya ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kingono kuendelea kutenda makosa bila kuwajibishwa.

    Skiza makala haya kufahamu mengi.

  19. KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare

    10 min

    Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye anapigania hazi za …

    Notas del episodio

    Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye anapigania hazi za waathiriwahawa katika mtaa wa Mathare Bi. Beatrice Karore.

  20. Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8

    10 min

    Mzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi ndani ya mradi wa Eleve8. Skiza makala haya kufahamu mengi.

  21. Siku ya Mama duniani, je unamtambua mama

    10 min

    Kila mwezi mei dunia huduadimisha siku ya mama duniani, je unatambua mchango wa mama duniani. Skiza makala haya kufahamu mengi skiza makala haya

  22. Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala

    10 min

    Kila mwezi Mei dunia huadimsha siku ya uhuru wa nyombo vya habari na wanahabari. Katika makala haya tunaangazia changamoto wanazopitia wanahabari wakati wakitekeleza majukumu yao.

  23. Reuben Kigame na harakati zake kupigia haki

    10 min

    Msanii Reuben Kigame anafafanua harakati zake za kisiasa na ndoto yake kuongoza Kenya. Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.

  24. Unyanyasaji na kunyimwa haki kwa wanawake katika biashara za kimataifa

    10 min

    Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha na biashara za kimataifa nchini Kenya, wengi wao bado wanakumbana na changamoto kubwa,ikiwemo kudhalilishwa, ubaguzi wa kijinsia na kunyimwa haki zao za …

    Notas del episodio

    Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha na biashara za kimataifa nchini Kenya, wengi wao bado wanakumbana na changamoto kubwa,ikiwemo kudhalilishwa, ubaguzi wa kijinsia na kunyimwa haki zao za msingi wanapojaribu kuingia au kushindana katika masoko ya nje.

    Katika maeneo ya mashambani hadi mipakani, wanawake hawa wanapambana si tu kukuza biashara zao, bali pia kupigania heshima na nafasi sawa katika soko la kimataifa.

    Makala haya yanaangazia wanawake hao.

  25. Kenya : Mchango wa masharika ya kiraia kwa jamii

    10 min

    Katika makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu. Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya limeendelea …

    Notas del episodio

    Katika makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu.

    Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya limeendelea kuleta mageuzi kwa raia.

    Ili jamii kuendelea na kujitegemea inahitaji watu wa kufanikisha baadhi ya maswala kwa jamii kuja na mbinu ya namna gani ya kuwezesha jamii kujiendeleza.

    Kutokana na hili ndipo Corps Africa nchini Kenya huwatumia vijana kwa kuwatuma katika jamii mabalimbali, ili kusema na hizo jamii na kutambua namna gani au wanahitaji msaada gani.

  26. Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa

    10 min

    Katika makala haya tunaangazia ripoti kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya, Ripoti …

    Notas del episodio

    Katika makala haya tunaangazia ripoti kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya,

    Ripoti hii inaonyesha kuwa licha ya maeneo haya kuathirika zaidi na ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi, bado fedha nyingi hazifiki moja kwa moja kwa wananchi wanaohitaji msaada huo zaidi.

    Ripoti hiyo ya Oxafarm inaonyesha kuwa mfumo wa ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya bado una changamoto nyingi, ikiwemo ukosefu wa uwazi, ushirikishwaji mdogo wa jamii, na utegemezi mkubwa wa fedha kutoka nje masharika ya nje

¿Es tu podcast?

Confírmalo con una entrada en tu feed: aquí recibes un código, lo añades como podcast:txt en el canal de tu feed y nosotros lo comprobamos. Después tu podcast aparecerá como «verificado» en SoundNode.

Ajustes

Visualización

Idioma

Determina qué emisoras ves primero en la página de inicio.

Historial

Las emisoras y episodios escuchados recientemente y tus últimas búsquedas solo se guardan en este navegador.

Avisos

Un breve aviso cuando un pódcast que sigues tiene un episodio nuevo. Puedes desactivar pódcast concretos con la campana de su página.

Cuenta

Guarda tus favoritos: en la app y en la web.

Atajos de teclado

/
Abrir búsqueda
Espacio
Reproducir o pausar
← →
En el reproductor: 15 s atrás, 30 s adelante (episodios) · en una fila: siguiente tarjeta
↑ ↓
En una fila: destino dentro de la tarjeta
Inicio / Fin
En una fila: primera o última tarjeta
Esc
Cerrar ventana o menú
?
Este resumen
Reproduciendo ahora

Ir a la emisora

A continuación

    Añade episodios con «A continuación»: sonarán después del episodio actual.